❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
❄
🎄 Merry Christmas 🎄
🎉 Happy New Year 2025 🎊
Zinapakia...
Tunapakia albamu
Baraka za Pamoja
UNGANA NASI
Kwa Njia ya Sadaka
Tuungane mkono ili kuendeleza kazi ya Mungu na kuboresha mazingira yetu ya ibada. Kila sadaka huleta mabadiliko makubwa.
4
Miradi Mikuu
300+
Wachangiaji

Pamoja Tunaweza
Kujenga kanisa la Mungu
Tafadhali ingia kwenye akaunti yako ili uweze kuweka ahadi.
Chagua Mradi Unaopenda
Kila mchango wako unasaidia kujenga jamii yetu na kuendeleza kazi za kiMungu
Maboresho ya Kanisa
Tuungane mkono wapendwa kuboresha kanisa letu
Target: TZS 40,000,000Changamkia →
Sadaka ya Mabenchi
Tunaomba washarika mmalizie ahadi zenu za kuongeza mabenchi kwenye kanisa letu
Target: TZS 25,000,000Changamkia →
Diakonia
Wiki tutatembelea kitu cha mwane kuwaona watoto, shiriki nasi baraka hizi kwa sadaka yako ya hali na mali
Target: TZS 6,000,000Changamkia →
Kulipa Deni
Tuungane pamoja ili kumaliza deni letu la kanisa kabla ya mwaka huu kuisha.
Target: TZS 30,000,000Changamkia →
Huduma zinazokuja
Yajayo
Fuatilia matukio yetu makubwa yanayokuja katika huduma ya Usharika wetu
Injili
Mkutano wa Injili
15 Juni 2025
10:00 - 12:00 PM
KKKT - Usharika wa Yombo
Vijana
Twen'zetu Kwa Yesu
19 Juni 2025
6:00 PM
Kanisa Kuu
Safari
Vijana Experience
26 Juni 2025
Safari Adventure
Selous & Kilwa Masoko
Kumbuka Tarehe
Usiache kupita matukio haya muhimu. Tengeneza ratiba yako mapema.