Albamu zinapakia...
Subiri kidogo, tunapakia maudhui
UNGANA NASI KWA NJIA YA SADAKA
Tuungane mkono ili kuendeleza kazi za kiMungu na kuboresha mazingira yetu ya ibada
Tafadhali ingia kwenye akaunti yako ili uweze kuweka ahadi.
Maboresho ya Kanisa
Target: 40,000,000Tuungane mkono wapendwa kuboresha kanisa letu
Sadaka ya Mabenchi
Target: 25,000,000Tunaomba washarika mmalizie ahadi zenu za kuongeza mabenchi kwenye kanisa letu
Diakonia
Target: 6,000,000Wiki tutatembelea kitu cha mwane kuwaona watoto, shiriki nasi baraka hizi kwa sadaka yako ya hali na mali
Kulipa Deni
Target: 30,000,000Tuungane pamoja ili kumaliza deni letu la kanisa kabla ya mwaka huu kuisha.
Huduma zinazokuja
Yajayo
Fuatilia matukio yetu makubwa yanayokuja katika huduma ya Usharika wetu
Injili
Mkutano wa Injili
15 Juni 2025
10:00 - 12:00 PM
KKKT - Usharika wa Yombo
Vijana
Twen'zetu Kwa Yesu
19 Juni 2025
6:00 PM
Kanisa Kuu
Safari
Vijana Experience
26 Juni 2025
Safari Adventure
Selous & Kilwa Masoko
Kumbuka Tarehe
Usiache kupita matukio haya muhimu. Tengeneza ratiba yako mapema.